Luke 1:31-33

31 aTazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanaume na utamwita jina lake Yesu. 32 bYeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake. 33 cAtaimiliki nyumba ya Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.”

Copyright information for SwhNEN